Habari za Punde

Tamasha la Vitabu Zanzibar Lafanyika katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar

Watunzi na Wachapishaji wa Vitabu vya riwaya mbalimbali Washiriki katika Tamasha la Vitabu Zanzibar lililofunguliwa leo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said, kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.

Na kuwashirikishwa Wageni kutoka sehemu mbalimbali Duniani wakiwemo Watunzi maarufu.   
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.