Habari za Punde

Wizara ya Afya yaingia mkataba na Makampuni ya kimarekani na Canada kusaidia utoaji huduma za maradhi ya macho Wizara ya afya imetiliana saini mkataba wa makubaliano na Afrika Relief ya Nchini Marekani na Local Potential Enhancing ya Canada wenye lengo la kusaidia utoaji wa huduma za maradhi ya macho hapa nchini.

Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Amour Suleiman Mohamed amesema Mkaba huo utahusisha utaoji wa vifaa kwa ajili ya uchunguzi wa maradhi ya macho, kufanya upasuaji na kusimamia wagonjwa waliogundulika na maradhi ya jicho.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.