Habari za Punde

Rais wa Ujerumani Mhe.Frank -Walter Steinmeier Atambelea Kiwanda cha Tigwa Cement Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani Mheshimiwa Frank-Walter Steinmeier ametembelea kiwanda cha kuzalisha saruji cha Twiga (Twiga Cement) kilichopo Tegeta jijini Dar es Salaam. 

                                                                                

Rais Frank-Walter Steinmeier amepata fursa ya kujionea shughuli mbalimbali za uzalishaji saruji zinazoendelea kiwandani hapo.  

 

Kiwanda  hicho cha Twiga Cement kinachotarajia kuongeza uwekezaji wake kufikia Dola za Marekani Milioni 500 kilijengwa nchini mwaka 1967. 


Kiwanda cha Twiga Cement kina ubia na Kampuni ya Scancem International ya nchini Ujerumani.

  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.