Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Memejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,  Ajira, Vijana  na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako (kushoto) na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Memejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, bungeni jijini Dodoma, Oktoba 31, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.