Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) na Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Balozi wa India Nchini Mhe.Binaya Srikanta
Pradhan (kushoto) wakifungua pazia kama ishara ya Uwekaji wa Jiwe la
msingi Ujenzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar
katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini
Magharibi leo(wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
Muonekano wa Jengo la Taasisi ya Teknolojia
ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar katika Kijiji cha Fumba Wilaya ya
Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi,ambapo Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,aliweka
jiwe la ufunguzi wa taasisi hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam
Mwinyi (kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa Mjumbe wa Kamati ya
Uendeshaji Ndg.Abdirahman Ali Hassan wakati alipotembelea baadhi ya vyumba
mbali mbali katika Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya
Zanzibar leo Kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa
wa Mjini Magharibi alipoweka jiwe la msingi ujenzi wa taasisi hiyo
(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Dhamana wa
Taasisi ya (IIT) Kamapasi ya Zanzibar Prof.Preeti Aghalayam
(kulia) wakati alipotembele chumba cha
Kompyuta katika Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya
Zanzibar Kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa
wa Mjini Magharibi leo wakati alipoweka jiwe la Ufunguzi wa
Taasisi hiyo.(wa pili kushoto) Mke wa Rais Mama Mariam
Mwinyi na (wa pili kulia) Mjumbe wa Kamati ya Uendeshaji
Ndg.Abdirahman Ali Hassan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (mbele) akiweka saini yake wakati
alipotembele chumba cha Kompyuta katika Taasisi ya Teknolojia ya
Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar Kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi
"B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo wakati alipoweka
jiwe la Ufunguzi wa Taasisi hiyo (kushoto) Mjumbe wa Kamati ya
Uendeshaji Ndg.Abdirahman Ali Hassan, Balozi wa India Nchini Mhe.Binaya
Srikanta Pradhan na Mkurugenzi Dhamana wa Taasisi ya (IIT)
Kampasi ya Zanzibar Prof.Preeti Aghalayam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza
Mkurugenzi Dhamana wa Taasisi ya (IIT) Kamapasi ya Zanzibar Prof.Preeti
Aghalayam (katikati) wakati alipotembele chumba cha
makulati katika Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi
ya Zanzibar Kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi
"B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo wakati alipoweka
jiwe la Ufunguzi wa Taasisi hiyo.(kulia) Mjumbe wa Kamati ya Uendeshaji
Ndg.Abdirahman Ali Hassan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati)
wakifuatana na Mkurugenzi Dhamana wa Taasisi ya (IIT) Kamapasi ya
Zanzibar Prof.Preeti Aghalayam (wa pili kulia) wakati alipotembele
sehemu mbali mbali katika katika Taasisi ya Teknolojia ya
Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar Kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi
"B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo wakati alipoweka
jiwe la Ufunguzi wa Taasisi hiyo.(kulia) Balozi wa India Nchini Mhe.Binaya
Srikanta Pradhan na n na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela
Mohamed Mussa (kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na
Mkurugenzi Dhamana wa Taasisi ya (IIT) Kamapasi ya Zanzibar
Prof.Preeti Aghalayam (wa pili kulia) wakati alipotembele sehemu
mbali mbali katika katika Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT)
Kampasi ya Zanzibar Kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi
"B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo wakati alipoweka
jiwe la Ufunguzi wa Taasisi hiyo.(kulia) Balozi wa India Nchini Mhe.Binaya
Srikanta Pradhan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akitoa hutuba yake katika hafla
ya Uwekaji wa Jiwe la Ufunguzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras
(IIT) Kampasi ya Zanzibar katika Kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi
"B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo ambapo Mke wa Rais wa
Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Viongozi mbali mbali walihudhuria.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Prof.Raghunatham
Rengasamy katika hafla ya ufunguzi rasmi wa Taasisi ya
Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar katika Kijiji cha Fumba
Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Dhamana wa Taasisi ya
(IIT) Kamapasi ya Zanzibar Prof.Preeti Aghalayam katika hafla ya ufunguzi
rasmi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar
katika Kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa
Mjini Magharibi.
No comments:
Post a Comment