Habari za Punde

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Ujumbe wa (TSA) Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Tanzania Startup Association (TSA) ikiongozwa na Mwenyekiti wao Ndugu Paul Makanza pamoja na Wajumbe aliofuatana nao walipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Tanzania Startup Association (TSA) Ndugu Paul Makanza, Mtendaji Mkuu Ndugu Zahoro Muhaji na Makamu Mwenyekiti, Ndugu Lulu Ng’wanakilala pamoja na Wajumbe waliofuatana nao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.