Habari za Punde

Wenza wa Wake wa Viongozi Wawatembelea Waathirika wa Mafuriko Hanang

 

Mlezi wa Kikundi cha Wenza wa Viongozi "Ladies of New Millenium Women Group" Mama Mary Majaliwa akikabidhi misaada mbalimbali kwa waathirika wa Mafuriko yaliyotokea Katesh Mkoani Manyara kwa niaba ya kikundi cha Wenza wa Wake wa Viongozi "New Millenium Women Group.

Mlezi wa kikundi cha wenza wa viongozi "Ladies of New Millenium Women Group" Mama Marry Majaliwa pamoja na wenza wengine wa viongozi wakipewa maelezo na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga. Walipotembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika kijiji cha Gendabi Katesh Mkoani Manyara,
Mlezi wa kikundi cha wenza wa viongozi "Ladies of New Millenium Women Group" Mama Marry Majaliwa akizungumza na waathirika wa mafuriko yaliyotokea Katesh Mkoani Manyara alipotembelea kambi ya muda iliyopo kwemye shule ya Sekondari Katesh Mkoani Manyara.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.