Meneja wa Shirika la Bima la Taifa Tanzania (NIC ) Kanda ya Zanzibar Ndg. Khamis Msami akimkabidhi zawadi ya fedha tasilim mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup kutoka Timu ya Singida FG. Chukwu Moris kwa kuibuka mshindi wa mchezo huo na Timu ya APR FC,mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar.Timu ya Singida FG imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1.
Mahafali ya MUHAS Yafanyika, Wanafunzi 1309 wahitimu
-
Makamu Mkuu Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Prof.
Appolinary Kamuhabwa akitoa Hotuba yake katika Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu
cha Afy...
40 minutes ago
No comments:
Post a Comment