Mchezaji wa Timu ya Azam akimiliki mpira huku mchezaji wa Timu ya Vitalo akijaribu kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar, katika mchezo huo Timu ya Azam imeshinda kwa bao 3-1 na kuingia Robo fainali ya Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup.
Uchumi : Gavana Tutuba Ahimiza Matumizi zaidi ya Rasilimali za Ndani ya
Ukanda wa Afrika Mashariki (EAC)
-
Benki Kuu katika ukanda wa Afrika Mashariki (EAC) zimehimizwa kuweka
kipaumbele katika kutumia rasilimali zao kwa ajili ya maendeleo yao, na
kupunguza ut...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment