Habari za Punde

NIC Insurance Yanagesha Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar

Afisa wa Bima NIC Insurance Bi. Lilian Manumbu akimkabidhi zawadi ya fedha taslim shilingi laki tano Mchezaji Bora wa Mchezo wa  Kombe la Mapinduzi kutoka Timu ya Azam. baada ya kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo huo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.