Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Viongozi mbalimbali Wanawake wa
Indonesia katika Mkutano uliofanyika Jakarta ikiwa ni muendelezo wa ziara yake
ya Kitaifa nchini humo.
Baadhi
ya viongozi mbalimbali Wanawake wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Jijini Jakarta ikiwa
ni muendelezo wa ziara yake ya Kitaifa nchini humo tarehe 25 Januari, 2024.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment