Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wanafamilia ya Marehemu Sheikh.Machano Makame, kuitikia dua ya kumuombea marehemu alipofika kutoa mkono wa pole kwa familia nyumbani kwao mtaa wa Muembemakumbi Wilaya ya Mjini Unguja jana 26-1-2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwapungia mkono majirani wa Familia ya Marehemu Sheikh Machano Makame mtaa wa Mwembemakumbi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo baada ya kuifariji familia hiyo kwa Kifo cha Mzee wao aliyefariki hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment