Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na Viongozi wa Masjid Twauba Mwembemakumbi baada ya kushiriki Swala ua Ijumaa leo ikiwa nikawaida yake kushiriki Ibada katika Misikiti mbali mbali Nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto) pamoja na waumini wengine wakiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya Swala ua Ijumaa katika Masjid Twauba Mwembemakumbi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo ikiwa nikawaida yake kushiriki Ibada katika Misikiti mbali mbali Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Twauba Mwembemakumbi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo baada ya Swala ya Ijumaa ikiwa nikawaida yake kushiriki Ibada katika Misikiti mbali mbali Nchini.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Twauba Mwembemakumbi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo baada ya Swala ya Ijumaa ikiwa nikawaida yake kushiriki Ibada katika Misikiti mbali mbali Nchini.
No comments:
Post a Comment