Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya chakula cha mchana alichomuandalia mgeni wake
Rais
wa Poland Andrzej
Duda Ikulu
Jijini Dar es Salaam
Rais wa Poland Andrzej Duda akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu
Jijini Dar es Salaam kuhusiana na ziara yake nchini Tanzania Rais
Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Marais Wastaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali
Mohamed Shein na Amani Abeid Karume
pamoja na Spika Mstaafu Anne Makinda wakiwa kwenye hafla ya chakula cha mchana
kilichoandaliwa kwa ajili ya Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam
Viongozi
mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili
ya Rais
wa Poland Andrzej
Duda Ikulu
Jijini Dar es Salaam
Rais wa Poland Andrzej Duda akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu
Jijini Dar es Salaam kuhusiana na ziara yake nchini Tanzania Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akiwa kwenye hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Rais wa
Poland Andrzej
Duda pamoja na ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment