RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini
alipowasili katika viwanja vya Msikiti Makuti Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar, kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti
huo leo 16-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi
baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti
Makuti Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam
katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud
Mussa Wadi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa
iliyofanyika katika Msikiti Makuti Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar leo 16-2-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mtoto Fahiri Said, baada
ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Makuti
Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto
wa Mtaa wa Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-2-2024,
baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya iliyofanyika katika Msikiti Makuti.
No comments:
Post a Comment