Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa,  Balozi  Liberata Mulamula, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Deogratius Ndejembi , bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.