Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewaongoza Mawaziri wenzake; Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Jerry Silaa (Mb), katika kikao na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, anayesimamia nchi za Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Victoria Kwakwa , aliyepo nchini katika ziara ya kikazi, ambapo katika kikao hicho, Serikali na Benki ya Dunia, wamejadiliana masuala ya msingi ya kuendeleza ushirikiano kati ya pande hizo mbili ikiwemo uhifadhi na utalii pamoja na maendeleo ya watu na Taifa kwa ujumla.
BREAKING: MCHEZAJI WA LIVERPOOL DIOGO JOTA AFARIKI DUNIA
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
MSHAMBULIAJI wa timu ya Liverpool na timu ya taifa ya Ureno Diego Jota
amefariki dunia kufuatia ajali mbaya ya gari iliyoto...
59 minutes ago
No comments:
Post a Comment