RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa
Serikali alipowasili katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 11-7-2024, kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la
Uwekezaji katika Visiwa Vidogo vidogo na
Uhifadhi wa Bahari Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la
Uwekezaji katika Visiwa Vidogo vidogo na Uhifadhi wa Bahari Zamzibar,
lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 11-7-2024
BAADHI ya Wawekezaji mbalimbali wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano la Uwekezaji katika Visiwa
Vidogo vidogo na Uhifadhi wa Bahari Zanzibar, linalofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar leo 11-7-2024.
BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la Uwekezaji
katika Visiwa Vidogo vidogo na Uhifadhi wa Bahari Zanzibar , wakifuatilia
hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutibia na kulifungua Kongamano hilo katika
ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 11-7-2024
No comments:
Post a Comment