Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiifariji familia na waombolezaji mbalimbali kufuatia kifo cha Bi.
Doleta Minya kilichotokea tarehe 09 Julai 2024. Makamu wa Rais ametoa pole hizo
wakati alipoitembelea familia ya marehemu akiwa Kijiji Kasumo Wilaya ya Buhigwe
mkoani Kigoma tarehe 11 Julai 2024.
PSPTB YATOA MAFUNZO WA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WA TAA
-
Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imeendesha mafunzo ya sheria
mpya ya ununuzi wa umma ya mwaka 2023 na kanuni mpya za mwaka 2024 kwa
watumi...
2 days ago
No comments:
Post a Comment