Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Dkt. Gladnes Selema kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma baada ya kuchaguliwa na Bunge kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Septemba 5, 2024. Kushoto ni Mume wa Mbunge huyo, Dereck Chitama, kulia ni Isaack Chitama na katikati ni Ladislaus Chitama wote ni watoto wa Mbunge huyo.
Dkt. Gladnes Selema akiwashukuru wabunge baada ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki bungeni jijini Dodoma, Septemba 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment