RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Bandari Kavu
Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja inayoewndeshwa na Kampuni ya “Zanzibar
Multipurpose Terminal” uzinduzi huo uliyofanyika leo 18-10-2024, na (kushoto
kwa Rais) Mtendaji Mkuu wa AGL Ports &Terminal Olivier De Noray, Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi
na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Saiad (kulia kwa Rais) Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya “Zanzibar
Multipurpose Terminal” Nicolas Escalin, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Mhe.Zuberi Ali Maulid na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar
Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la
Uzinduzi wa Bandari Kavu Maruhubi inaoyeondeshwa na Kampuni ya “Zanzibar
Multipurpose Terminal” uzinduzi huo
uliyofanyika leo 18-10-2024 katika eneo la Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la
uzinduzi wa Bandari Kavu Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja, baada ya kuizindua
leo 18-10-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi
Zanzibar Mhe.Dk.Khalid Salum Mohammed, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu
Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zanzibar Multipurpose Terminal. Nicolas Escalin (kulia kwa Rais) na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed,wakati akitembelea Bandari Kavu Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja, baada ya kuifungua leo 18-10-2024 na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.

No comments:
Post a Comment