Habari za Punde

WAZIRI WA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA YA SANAA MWANAKWEREKWE ZANZIBAR.

Ujenzi wa Mradi wa Njumba ya Sanaa  wakiwa katika Harakati zaUjenzi kama walivyoonekana katika ziara maalum ya Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita  kutembelea Mradi huo Mwanakwerekwe Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akimsikiliza Mkurugenzi Wakala wa Majengo Eng,Kassim Ali Omar katika ziara maalum ya kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Nyumba ya Sanaa Mwanakwerekwe Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajab akifahamisha jambo wakati wa ziara maalum ya Waziri wa Habari Vijana Utamadini na Michezo Tabia Maulid Mwita akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Nyumba ya Sanaa Mwanakwerekwe Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akimsikiliza Wakala wa Majengo (Architect)Fat-hiya Said Bakran wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Nyumba ya Sanaa Mwanakwerekwe Zanzibar.
PICHA NA YUSSUFS IMAI/MAELEZO ZANZIBAR.17/10/2024.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.