Inna lilahi wainna ilayhi raajiuun. Haji Kimara ametangulia mbele ya haki.Allah ampe Qauli thabit na amsameh makosa yake.Haji Aliwahi kuchezea timu ya Small Simba wakati ule wa Moto Small.Na aliwahi kuchezea timu ya Kikwajuni
NGUMI NUSU FAINAL KLABU BINGWA TAIFA NI PATA SHIKA, NGUO KUCHANIKA
-
▫️Nusu fainali ya kwanza kufanyika usiku wa leo kwa mapambano 14
▫️Magereza warudi kwa kishindo msimu huu
18-09-2025, Tanga.
MASHINDANO ya ngumi Klabu Bin...
31 minutes ago
No comments:
Post a Comment