Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki maadhimisho ya kilele cha Miaka 61, ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Gombani, wilaya ya Chakechake, mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar leo tarehe 12 Januari, 2025.Mgeni Rasmi wa maadhimisho hayo alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
MANERUMANGO MABINGWA JAFO CUP 2024-25
-
Na Khadija Kalili, Michuzi TV
TIMU ya Tarafa ya Manerumango 'Mango' yenye Maskani yake Manerumango
Wilayani Kisarawe wameibua kuwa mabingwa katika fain...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment