Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameongoza Kikao cha Baraza la Mapinduzi

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiongoza kikao cha Baraza la Mapinduzi kilichofanyika , Pemba tarehe 11 Januari 2025. Kikao cha Baraza la Mapinduzi cha kwanza kwa mwaka huu wa 2025.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.