Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Amekutana na Ujumbe wa Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Tume  ya Rais ya Marekebisho ya Kodi ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 20, 2025. Wa pili kuila ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Balozi Ombeni Sefue
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Rais  ya Marekebisho ya Kodi, Balozi Ombeni Sefue  ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume  ya Rais ya Marekebisho ya Kodi baada ya mazungumzo ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 20, 2025. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Balozi Ombeni Sefue. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.