
Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu.
Dkt. Samia Suluhu Hassan na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Kuchaguliwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho
kuwa Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu. Katika mkutano
huo Rais Dkt. Samia alipata kura za ndio 1924 sawa na asilimia 100 ya kura zote
zilizopigwa.
Shamrashamra
za Wajumbe pamoja na wageni mbalimbali ndani ya ukumbi wa Mikutano wa Jakaya
Kikwete Jijini Dodoma mara baada ya kutangazwa Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt.
Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi utakaofanyika badae
mwaka huu.
Shamrashamra za Wajumbe pamoja na wageni mbalimbali ndani ya ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma mara baada ya kutangazwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi utakaofanyika badae mwaka huu.
No comments:
Post a Comment