Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Stephen Wasira, mara baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 18 Januari, 2025.(PICHA NA CCM )
TIA YAANZISHA KAMPASI MPYA MKOANI TANGA
-
NA EMMANUEL MBATILO
TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imeanzisha Kampasi mpya ya TIA mkoani
Tanga, ambayo inalenga kuhudumia wanafunzi kutoka kanda ya Kask...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment