WASANII wa Kikundi cha sanaa Chuo cha Mafunzo
Zanzibar wakitowa burudani wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasili katika
viwanja vya Hotel ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kwa
ajili ya kupokea Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania, uliyofanyika leo
20-2-2025 katika ukumbi wa hoteli hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitambulishwa Watendaji Wakuu wa Bima
Tanzania na Kamishna wa Bima Tanzania (TIRA) Dkt.Baghayo Saqware, alipowasili
katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
leo 20-2-2025, kwa ajili ya kukabidhiwa Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima
Tanzania.
KAMISHNA wa Bima Tanzania (TIRA) Dkt. Baghayo
Saqware akiwasilisha Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania kwa mwaka
ulioisha 31,Disemba 2024, kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano huo
uliyofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar leo 20-2-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya mkutano wa Wadau
wa Bima Tanzania na kukabidhiwa Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania,
mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar leo 20-2-2025.
WASHIRIKI wa Mkutano wa kupokea Taarifa ya
Utendaji wa Soko la Bima Tanzania, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia
katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Wilaya ya
Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 20-2-2025.
BALOZI wa Bima Tanzania Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi. Zena Ahmed Said, akipiga makofi
kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia katika mkutano wa kupokea Taarifa
ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania, mkutano uliyofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 20-2-2025 na (kulia kwake) Kamishna wa
Bima Tanzania Dkt.Baghayo Saqware na (kushoto kwake) Naibu
Kamisha wa Bima Khadija Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Taarifa ya Utendaji wa Soko la
Bima Tanzania, akikabidhiwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Bima Tanzania Dr. Suleiman
Rashid Mohamed, baada ya kuwasilisha katika
mkutano wa Wadau wa Bima Tanzania, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 20-2-2025 na (kulia kwake) Waziri wa Nchi Afisi
ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt. Saada Mkuya Salum
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi
mbalimbali na kuonesha Kitabu cha Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania,
baada ya kukabidhiwa, wakati wa hafla ya mkutano wa Wadau wa Bima Tanzania
uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo
20-2-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi
mbalimbali na kuonesha Kitabu cha Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania,
baada ya kukabidhiwa, wakati wa hafla ya mkutano wa Wadau wa Bima Tanzania
uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo
20-2-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Kamishna wa
Bima Tanzania Dkt. Baghayo Saqware, baada ya kumalizika kwa mkutano wa Wadau wa
Bima Tanzania na kuwasilishwa kwa Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania,
uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo
20-2-2025 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango
Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum.
No comments:
Post a Comment