RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Sera ya Maji na Usafi wa Mazingira
2025, uzinduzi huo uliyofanyika 22-3-2025 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden
Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akionesha Kitabu cha Sera ya Maji na Usafi
wa Mazingira 2025, baada ya Uzinduzi wa Sera hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja 22-3-2025.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika mkutano wa Uzinduzi wa
Sera ya Maji na Usafi wa Mazingira 2025,
uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar
Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 22-3-2025
VIONGOZI wa Taasisi za Serikali Zanzibar
wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Uzinduzi wa
Sera ya Maji na Usafi wa Mazingira 2025, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli
ya Golden Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja 22-3-2025.
WAFANYAKAZI wa Taasisi ya Rand Water
wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Uzinduzi wa
Sera ya Maji na Usafi wa Mazingira 2025, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli
ya Golden Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja 22-3-2025
WAFANYAKAZI
wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini Zanzibar na Wageni Waalikwa katika
mkutano wa Uzinduzi wa Sera ya Maji na Usafi wa Mazingira 2025, wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akihutubia katika mkutano huo wa Uzinduzi, uliiyofanyika
katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar leo 22-3-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu na Waziri wa Maji
Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaibu Hassan Kaduara, wakati wa Uzinduzi wa
Sera ya Maji na Usafi wa Mazingira 2025 uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Golden Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja.
WAFANYAKAZI
wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini Zanzibar na Wageni Waalikwa katika
mkutano wa Uzinduzi wa Sera ya Maji na Usafi wa Mazingira 2025, wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akihutubia katika mkutano huo wa Uzinduzi, uliiyofanyika
katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar 22-3-2025
No comments:
Post a Comment