RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na
mgeni wake Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba, Mhe. Esteban
Lazo Hernandez, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 5-3-2025
RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na
mgeni wake Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Mhe. Esteban
Lazo Hernandez (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025
RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na
mgeni wake Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Mhe. Esteban
Lazo Hernandez (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025.
RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi
ya mlango wa Zanzibar, mgeni wake Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Cuba Mhe. Esteban Lazo Hernandez, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025.
RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni
wake Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Mhe. Esteban
Lazo Hernandez, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025
No comments:
Post a Comment