Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasha
Mwenge wa Uhuru kuashiria uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka
2025 katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani tarehe 02 Aprili 2025.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akimkabidhi Mwenge wa Uhuru kiongozi wa Mbio za Mwenge kwa Mwaka 2025 Bw.
Ismail Ali Ussi mara baada ya kuzindua Mbio hizo katika Uwanja wa Shirika la
Elimu Kibaha mkoani Pwani tarehe 02 April 2025.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025
katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani tarehe 02 Aprili
2025.
Kikundi cha
Watoto wa Halaiki wakifanya maonesho mbalimbali wakati wa hafla ya Uzinduzi wa
Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 iliyofanyika Uwanja wa Shirika
la Elimu Kibaha mkoani Pwani tarehe 02 Aprili 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Viongozi na Wananchi mbalimbali mara baada ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani tarehe 02 Aprili 2025.
No comments:
Post a Comment