RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tanzania Mhe.Balozi Mahmoud Thabit Kombo na
Viongozi mbalimbali, alipowasili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu
Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Uzinduzi wa Sera Mpya
ya Mambo ya Nje Tanzania, uliofanyika 19-5-2025.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan na (kulia kwa Rais) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tanzania Mhe.Balozi Mahmoud
Thabit Kombo, wakiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi mbalimbali
wanaowakilisha Nchini zao Tanzania, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sera Mpya ya
Mambo ya Nje Tanzania uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.19-5-2025.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan na (kulia kwa Rais) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Mahmoud Thabit
Kombo, wakiwa katika picha ya pamoja na Waliowahi kuwa Watendaji Wakuu Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,wakati wa hafla ya Uzinduzi
wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje Tanzania uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.19-5-2025.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan na (kulia kwa Rais) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tanzania Mhe.Balozi Mahmoud
Thabit Kombo, wakiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi mbalimbali
wanaowakilisha Nchini zao Tanzania, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sera Mpya ya
Mambo ya Nje Tanzania uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.19-5-2025.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dkt.Samia Suhulu Hassan na (kulia kwa Rais) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Rais
Mstaafu wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakimsikiliza Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tanzania Mhe.Balozi Mahmoud Thabit
Kombo, akitowa maelezo wakati wakitembelea banda la maonesho la Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tanzania, katika ukumbi wa Kimataifa
wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, katika hafla ya uzinduzi wa
Sera Mpya ya Mambo ya Nje Tanzania,uzinduzi huo uliyofanyika 19-5-2025.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dkt.Samia Suhulu Hassan na (kulia kwa Rais) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakipata maelezo wakati
wakitembelea banda la maonesho la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Tanzania, katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
Jijini Dar es Salaam, katika hafla ya uzinduzi wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje
Tanzania,uzinduzi huo uliyofanyika 19-5-2025.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakielekea katika ukumbi baada ya kumaliza
kutembelea maonesho wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje
Tanzania, uliyofanyika katika ukumbi Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Jijini Dar es Salaam.19-5-2025

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia
Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakiwa katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam na Viongozi mbalimbali, wakati ukipigwa
wimbo wa Taifa wa Tanzania na wa Afrika Mashariki, kabla ya kuaza kwa hafla ya
Uzinduzi wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje Tanzania, uliofanyika katika ukumbi huo
19-5-2025

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa
Sera Mpya ya Mambo ya Nje Tanzania, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 19-5-2025.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akizindua Sera Mpya ya Mambo ya Nje Tanzania,
uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, 19-5-2025 na (kulia kwa Rais) Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Mahmoud Thabit Kombo.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Vitabu vya Sera Mpya ya Mambo ya Nje
Tanzania, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi, baada ya kuzindua Sera hiyo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa
wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 19-5-2025

No comments:
Post a Comment