Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua athari za magugu maji katika siwa Victoria kwenye eneo la Kingongo Busisii mkoani Mwanza, Mei 29, 2025. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Muungano na Mazingira, Cyprian Luhemeja
Sehemu ya Magugu maji yaliyoondolewa ziwa Victoria katika eneo la Kigongo Busisi mkoani Mwanza na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alishuhudia kazi ya uondoaji magugu maji hayo, Mei 19, 2025.
Mtambo wa kuondoa magugu maji kwenye Ziwa Victoria katika eneo la Kigongo Busisi mkoani Mwanza. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua kazi ya uondoanji magugu maji hayo, Mei 19, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika eneo la Kigongo wilayani Misungwi wakati alipokagua uondoaji maguigu maji kwenye ziwa Victoria katika eneo na Kigongo na Busisi mkoani Mwanza, Mei 19, 2025
No comments:
Post a Comment