Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Juscelino Kubitschek Jijini Brasilia nchini Brazil ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa pili wa Brazil na Afrika kuhusu usalama wa chakula, mapambano dhidi ya njaa na maendeleo vijijini. Tarehe 19 Mei 2025.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Akagua
Kazi ya Kuondoa Magugu Maji katika Ziwa Victoria Eneo la Kigongo Busisi
Mkoani Mwanza
-
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua athari za magugu maji katika eneo la
Kingongo Busisii mkoani Mwanza, Mei 29, 2025. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi
ya...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment