Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais
wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo
Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini
Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah akisaini kitabu cha wageni mara
baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia
Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini
Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia
Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini
Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2025.
No comments:
Post a Comment