RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Yas /Mixx Zanzibar. Azizi Saidi
Ali, wakati akitembelea banda la maonesho la kampuni ya simu ya Yas/Mixx , katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusinin Unguja, katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
Mei Mosi 2025 , yaliyofanyika Mkoa wa Kusini Unguja 1-5-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi wa Yas /Mixx Zanzibar. Azizi Saidi
Ali, wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja 1-5-2025
No comments:
Post a Comment