Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Chama Cha N.R.A akiwahutubia Wananchi katika viwanja vya Soko la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi "B" Unguja na kutangaza Sare za Chama chake, wakati akiendelea na mikitano yake ya kampeni kuomba KURA , ili kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 29.Oktoba 2025.

Wananchama wa Chama Cha N.R.A wakimshangilia Mgombea wao wa Urais wa Zanzibar wakati akizungumza na Wananchi na Wajasiriamali katika viwanja vya Soko la Mwanakwereke akiendelea mi mikutano yake ya Kampeni kuomba Kura kuiongoza Zanzibar.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha N.R.A akisisitiza jambo wake wa mkotano wake wa kampeni na Wananchi uliyofanyika katika eneo la viwanja vya Soko la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi "B" Unguja, akiendelea na mikutano yake ya kampeni kuomba ridhaa za Wananchi kuongoza Tanzania.


No comments:
Post a Comment