Habari za Punde

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Awahutubia Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Kusini Viwanja Paje

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi na Wanachama wa CCM katika mkutano wake wa Kampeni uliyofanyika katika viwanja vya mpira Paje Mkoa wa Kusini Unguja, na kuinadi Ilani ya Uchaguzi ya  CCM ya Mwaka 2025 na Kuwaomba KUra na Kuwaombea Kura Wagombea Wote wa Chama Cha Mapinduzi. 
Wananchma wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia katika viwanja vya mpira Paje Wilaya ya Kusini Unguja.




















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.