Habari za Punde

NA WANYAMA NAO WANA HAKI

.

DAKTARI WA WANYAMA AKIMPATIA HUDUMA N'GOMBE WALIOMKAMATA AKIFANYISHWA KAZI ZA KUBEBA MIZIGO AKIWA NA KIDONDA KATIKA MKIA WAKE BILA YA KUJALI HAKI ZA WANYAMA KATIKA MTAA WA MWANAKWEREKWE
MDAU KIJANA HUYU ILIBIDI ABEBESHWE MZINGO WA MLANGO NA MAAFISA WA KULINDA HAKI ZA WANYAMA KAMA ANAONA UZURI KUMBEBESHA MNYAMA MZIGO KUPITA KIASI CHAKE

MAFISA WA KUTOKA TAASISI YA KULINDA HAKI ZA WANYAMA ZANZIBAR (ZALWEDA) WAKIMUWEKA CHINI YA ULINZI MCHUKUWA MIZIGO KWA KUTUMIA GARI YA PUNDA BAADA YA KUMBEBESHA MZIGO BILA KIASI

MAAFISA WA HAKI ZA WANYAMA (ZALWEDA)WAKIWA NA ASKARI POLISI WAKIWA WAMEMKAMATA KIJANA AKIWA KAMPAKIA PUNDA MIZIGO KIPITA KIASI AKIWA NA SHEHENA YA MILANGO KUPITA KIASI CHAKE KATIKA MTAA WA MWANAKWEREKWE

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.