Anaitwa Masoud Chile anafanya kazi hii peku peku bila ya gloves wala nini anadai mafuta ya taa ndiyo kiboko ya kila mdudu kwani hata wakitapisha vyoo kwanza hujipaka mafuta ya taa mwili mzima kabla ya kuingia lindini na wala hawapati maradhi yoyote.
Nilimnasa akiwa kibaruani mitaa ya kati kati.
Mmmmmh kazi nyengine...
No comments:
Post a Comment