Habari za Punde

WEBHOSTING KWA BEI POA KARIBU NA CHEE


Kwa wanaotaka kuanzisha tovuti hawa ni ndugu zenu wana service za kimataifa tena kwa bei rahisi sana. Bei zao ni karibu na chee hasa ukilinganisha na kampuni nyengine za webhosting.
Wasikilizeni wenzenu ambao tayari wameshajiunga nao
Assalaamu alaykum

Tokea
www.alnoorcet.co.uk ijiunge na MamboIT hakukutokea matatizo na tumefurahi kupata webhosting company ambayo tunaongea lugha moja na service yenu ni nzuri hasa katika usaidizi wenu ambao mara zote inakuwa papo kwa hapo. Tunawashukuru mamboIT kwa juhudi zenu.
Nawe kama una tovuti unakaribishwa na kama unataka kuanzisha pia unakaribishwa http://mamboit.net/

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.