Habari za Punde

WATOTO WA KIUME AMBAO WAMEZALIWA KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA 2010 NA MAMA YAO FARHAT MAULID (18) MKAAZI WA KIMBWENI MWANYANYA BUBUBU MKOA WA MJINI MAGHARIBI, WAKIWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MNAZI MMOJA, WAKIWA NA UZITO WA KARIBU KILO 3 KILA MMMOJA AKIWA NA KILO 1.5.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.