Habari za Punde

KWA HUDUMA BORA NA ZA KISASA ZA MAJENZI

Assalaam aleykum,
Hili ni tangazo kwa kila mtu popote pale alipo, mwenye haja ya kutaka huduma zetu za kazi za majenzi, kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yake; kwa mfano nyumba iliyoko Unguja, Pemba au Dar-es-Salaam.
Tunapenda kuwajulisha watu wote kuwa MM Consultants wa hapa Copenhagen - Denmark kwa kupitia mtandao wetu wa WWW.MPLUSKCONSULTANTS.COM tunatoa huduma za kazi za majenzi kama zilivyoelezwa kwenye mtandao huu. Pia kuna huduma za kupata nishati mbadala, inayotokana na jua au gesi, na za kuagiza vifaa vya majenzi, kama rangi, saruji na vyenginevyo kwa bei nafuu, moja kwa moja kutoka viwandani Uturuki na kwengineko Ulaya.
Tunawaomba watu wote watakaohitaji huduma zetu hizi wawasiliane na sisi moja kwa moja, kwa kupitia njia zilizotajwa kwenye mtandao wetu huu.
Tunataraji mashirikiano mema kutoka kwenu, yenye manufaa kwa pande zote.
Wa billahi tawfiq.
Ndugu yenu,
Hassan S.Mbamba
Kwa niaba ya MM Consultants.
Copenhagen, Denmark

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.