Kama una kumbukumbu yoyote na wauzaji wa aina hii tukumbushe basi mdau
Tunduru: Viuatilifu kuongeza uzalishaji wa Korosho Tunduru
-
Tunduru-Ruvuma.
Baadhi ya wakulima wa zao la korosho katika Tarafa ya Nakapanya Wilaya ya
Tunduru Mkoani Ruvuma,wamepongeza mpango wa Serikali wa kutoa b...
1 hour ago
Hii safi sana.
ReplyDeleteInanikumbusha siku hizo nasimama kwenye mivinje upande wa pili na kwenda kununua samaki fresh kwa jamaa hao. Lakini nasikia siku hizi mkule kama huyo hapo bei yake utakimbia. Sasa nani wanaonunua samaki kama samaki ni ghali sana? Na jee ile biashara ya hao jamaa kufukuzana na jamaa wa baraza la mji haipo tena?
Mdau
USA