Habari za Punde

KONGAMANO LA KURA YA MAONI NA UMUHIMU WA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA KATIKA PICHA


SAID ISSA MOHAMMED AKICHANGIA MADA YA ENZI ABUOD TALIB BAADA YA KUWASILISHA KATIKA KONGAMANO LA KURA YA MAONI.

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KWA WANANCHI NKUCHANGIA MADA ZILIZOWASILISHWA KATIKA KONGAMANO HILO.


WAHESHIMIWA WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAKIMSIKILIZA MTOA MADA SALUM TOUFIQ, AMBAYE NI WAKILI AKITOWA MADA YA FAIDA YA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA KISHERIA KATIKA KONGAMANO LA KURA YA MAONI.

KATIBU WA BARAZA LA WAWKILISHI IBRAHIM MZEE AKIWASILISHA MADA YAKE KATIKA KONGAMANO LA KURA YA MAONI NA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA.

WANANCHI WAKIMSIKILIZA KATIBU WA BARAZA LA WAWAKILISHI IBRAHIM MZEE AKIWASILISHA MADA YAKE.


WANANCHI WALIOHUDHURIA KONGAMANO LA KURA YA MAONI ILIOFANYIKA UKUMBI WA BAYTUL-YAMIN MALINDI ZANZIBAR. NA KUWASHIRIKISHA VIONGOZI WA DINI NA VYAMA VYA SIASA ZANZIBAR.

BI FATHIYA ZAHRAN WA CUF AKICHANGIA MADA


MOHAMMED YUSSUF AKIWASILISHA MADA YA UMUHIMU WA KURA YA MAONI NA MUSTAKABAL WA ZANZIBAR , ILIYOTAYARISHWA NA DK. MOHAMMED ADAM WA CHUO KIKUU CHA EAST STROUDSBURG, PENNSYLVANIA, MAREKANI.


WANANCHI NAO WAMEHAMASIKA KUCHANGIA MADA MBALIMBALI KATIKA KONGAMANO LA KURA YA MAONI SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR.

BW. HAMRANI UBAYA AKICHANGIA MADA KATIKA KONGAMANO LILOANDALIWA NA NA MUWAZA NA KUSHIRIKIANA NA ZANZIBAR LAW SOCIETY, ZANZIBAR LEGAL SERVICES CENTER NA JUMIKI.

MCHANGIAJI MADA KATIKA KONGAMANO LA KURA YA MAONI AKICHANGIA MADA YA MKUFUNZI WA SHERIA WA CHUO KIKUU CHA ZANZIBAR (TUNGUU.) ALI UKI KATIKA MADA YA KURA YA MAONI NA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA.

DK. OMAR JUMA KHATIB AKITOWA MADA YAKE YA SIHA YA MZANZIBAR BAADA YA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA , KATIKA KONGAMANO LA KURA YA MAONI NA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA.

MCHANGIA MADA MBAROUK SULEIMAN AKICHANGIA MADA YA DK. OMAR JUMA KHATIB YA SIHA YA MZANZIBAR BAADA YA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA.


MGOMBEA WA URAIS KUPITIA CHA CHA NRA RASHID AHMEID (JOY) AKICHANGIA MADA KATIKA KONGAMANO LA KURA YA MAONI NA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR.

BAADHI YA WASHIRIKI WAKIMSIKILIZA MTOWA MADA YA KURA YA MAONI

2 comments:

  1. ahsante kwa habari katika picha.
    Mdau Misri

    ReplyDelete
  2. Tunashukuru kwa kututembelea na kama una habari, picha au matukio Misri yanayohusiana na jamii ya kizanzibari tutumie tuwakilishe.

    Shukran Mdau

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.