Habari za Punde

PIRIKA PIRIKA ZA RAMADHAAN KATIKA PICHA

Mdau katika mtaa wa Rahaleo, Haruna akipanga maboga kwa ajili ya wateja wake na wananchi wengi bidhaa hiyo wakati huu wa mwezi wa Ramadhaan hutumika kwa wingi kwa ajili ya Futari
HIVI ndivyo lilivyo soko la samaki katika kipindi hichi cha mwezi wa Ramadhaan likiwa na upungufu wa samaki sokoni hapo kutokana na hali ya upepo na matumizi yake kuwa juu katika mwezi huu

Wananchi wakiwa katika harakati za kuwatafutia watoto wao nguo kwa ajili ya kusherehekea sikukuu baada ya mfungo wa mwezi wa Ramadhaan, wakiwa katika mitaa ya Mchangani

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.