Habari za Punde

RAIS KARUME APEWA ZAWADI NA WANANCHI WA ZANZIBAR

Picha ya mchoro ya Mama Shadya aliyozawadiwa
Rais Karume akipokea zawadi ya Picha kutoka kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akipokea zawadi ya Ngao maalum ya Heshima, kutoka kwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, akikabidhi kwa niaba ya Wananchi wa Zanzibar, wakati wa Sherehe a Kumuaga Rais akiwa amemaliza muda wake wa kazi hiyo, ifikapo uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu Octoba 31,sherehe hizo zilifanyika jana viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.


Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shadya Karume,(kulia) akipokea zawadi ya Ngao maalum ya heshima kutoka kwa wananchi wa zanzibar, kutokana na mchango wake mkubwa kwa kipindi cha Uongozi, kwa niaba, Mama Siti Mwinyi akikabidhi zawadi hiyo,katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar jana


Picha na Ramadhan Othman

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.