Habari za Punde

BALOZI SEIF IDDI NA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD WAAPISHWA LEO IKULU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,(kushoto)akimuapisha Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, Ikulu Mjini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,(kushoto)akimuapisha Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi leo,Ikulu Mjini Zanzibar

Picha na Ramadhan Othman

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.