Habari za Punde

MZENJ AIBUKA NA KITITA CHA MILIONI KUMI NA TANO ZA HAMIS MA- SMS ZA ZANTEL.

AFISA wa Kampuni ya Simu za mikononi ya Zatel,  Baucha akiwa na mshindi wa shindano la Hamisi Ma- SMS, Raya Nassor Mohammed mkaazi wa Vuga Unguja akiwa na kitita chake cha Fedha Shilling Milioni Kumi na Tano baada ya kuibuka mshindi.  
MSHINDI wa Hamisi Ma - SMS Raya Nassor Mohammed akipokea zawadi yake kutoka kwa Hamis Ma - SMS wa Zantel 

MSHINDI wa Shindano la HAMISI  MA  SMS linalochezeshwa na Kampuni ya Simu za Mikononi ya Zantel,  Raya Nassor Mohamed akikabidhiwa kitita chake cha Fedha taslim Shillingi Milioni kumi na tano na Hamisi  MA  SMS  katika viwanja vya Kampuni hiyo Amaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.